Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: RC Makonda alivyomaliza mvutano wa uwepo wa mnada soko la Kawe DSM

on

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda November 28 2016 alimaliza ziara ya Dar Mpya ambapo alizunguka maeneo tofauti ya jiji la Dar es salaam kwa siku 10 kusikiliza na kutoa majibu ya kero mbalimbali zinazowakabili wananchi.

November 28 2016 RC Makonda alipata nafasi ya kufika katika soko la Kawe kwa ajili ya kuweka jiwe la msingi katika ujenzi wa machinjio ya kisasa ya kuku. Baada ya kufika sokoni hapo alikuta mvutano uliokuwa ukiendelea baina ya wanaohitaji kuwepo kwa mnada kwa wiki mara moja sokoni hapo na wengine kutohitaji mnada wakidai unaua soko.

Awali , kabla ya ziara hiyo mkuu wa wilaya ya Konondoni Ally Hapi alifika sokoni hapo na alikuwa tayari ameamuru mnada usiwepo sokoni hapo, Baada ya RC Makonda kusikiliza hoja za pande zote mbili  alibariki maamuzi ya DC Hapi ya kupiga marufuku uwepo wa mnada kwenye soko hilo. Unaweza kuangalia vvideo hapa chini

VIDEO: RC Makonda alivyoamuru Wenyeviti watano kuchukuliwa na polisi katikati ya mkutano, bonyeza play hapa chini kutazama 

VIDEO: ‘Shida yetu tunashughulika na njaa ya leo bila kujua tunaharibu kesho yetu’-Makonda, Bonyeza play hapa chini kuitazama

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement