Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: RC Makonda apiga marufuku wauza mbogamboga na samaki

on

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul  Makonda ameendelea na ziara yake jijini Dar es salaam ambapo leo amefika kwenye soko la samaki feri na kuzungumza na wafanyabiashara wa samaki, wafanyabiasha hao wametaja changamoto yao kubwa ni biashara yao kukwama kutokana na kuwepo kwa maeneo mengine yasiyo rasmi  ambapo watu wanafanya biashara hiyo.

RC Makonda ametoa majibu hapo hapo ambapo amepiga marufuku uuzaji wa mbogamboga na samaki kwenye maeneo yasiyo rasmi. Unaweza kuangalia video hii hapa chini

VIDEO; ‘Katika watu ambao hamtaingia mbinguni ni watu wa ardhi’-Paul Makonda 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement