Tangaza Hapa Ad

Mix

Ubalozi wa Marekani nchini Kenya wafungwa baada ya tukio la kisu

on

Jana October 27 2016 iliripotiwa taarifa ya mwanaume mmoja kujaribu mshambulia afisa wa usalama karibu na ubalozi wa Marekani nchini Kenya kwa kisu, kisa hicho kimefanya ubalozi wa Marekani nchini Kenya leo October 28 2016 kutangaza kufungwa kwa muda kwa ubalozi huo.

Mwanamume aliyejaribu kumshambulia afisa wa usalama  kwa kupigwa risasi, Imeeelezwa hakuna afisa yeyote wa ubalozi huo aliyeathiriwa na kisa hicho.

Leo October 28 2016 Taarifa zilizotolewa kwenye tovuti ya ubalozi imesema ……..>>>Ubalozi utafungwa October 28 2016 na huduma zote za kibalozi zimesitishwa, lakini huduma za kibalozi za dharura kwa raia wa Marekani zitaendelea kutolewa’

usa

ULIKOSA MATUKIO SITA YA UDANGANYIFU YALIYOTOKEA KATIKA MTIHANI WA DARASA LA SABA? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement