Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: DC mdogo kuliko wote TZ kazungumzia anachojivunia kwenye wilaya yake

on

Mkuu wa wilaya ya Pangani mwenye umri mdogo zaidi, Zainab Abdallah amekaa na AyoTV na millardayo.com kwenye EXCLUSIVE interview na kueleza anachojivunia kwenye wilaya yake ndani ya mwaka mmoja.

‘Nilipofika hapa nikatambua changamoto ambazo zipo halafu nikaona fursa ziko wapi na wapi nitaweka vipaumbele, nimehakikisha nini ni vipaumbele vya wilaya, vitu ambavyo vimekuwa kero na vinarudisha zaidi nyuma maendeleo, kipaumbele changu cha kwanza ni Elimu kwa sababu Pangani wamechelewa sana kuwekeza kwenye Elimu’

VIDEO: Zainab Abdallah, Mkuu wa wilaya mdogo kuliko wote Tanzania, Bonyeza play hapa chini 

 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement