Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

BREAKING: Aliyekuwa Mpinzani Mkuu wa Mugabe, Morgan Tsvangirai amefariki

on

Taarifa inayoshika headlines nchini Zimbabwe na Afrika Kusini muda huu ni kuhusu Kiongozi Mkuu wa Upinzani nchini Zimbabwe, Morgan Tsvangirai amefariki akiwa anapatiwa matibabu nchi Afrika Kusini akiwa na umri wa miaka 65, alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa Saratani ya Utumbo kwa zaidi ya miaka miwili.

Hali ya afya Morgan ilizidi kuwa mbaya hadi siku za hivi karibuni licha ya matibabu aliyokuwa anapatiwa nchini Afrika Kusini.

Kifo cha Morgan kitakuwa pigo kubwa kwa upinzani nchini Zimbabwe.

Kamanda Mpinga ametaja Waliokamatwa na Meno ya Tembo yenye Thamani ya Milioni 33

 

Soma na hizi

Tupia Comments