Tangaza Hapa Ad

VIDEO: Mwenyekiti aliyedaiwa kujiita ‘Mungu’ wa Bonyokwa alivyoshtakiwa kwa RC Makonda


Mkuu wa mkoa wa Dar es slaam, Paul Makonda ameendelea na ziara yake ambapo leo November 24 alifika kata ya Bonyokwa Ilala na akakutana na tuhuma zinazomkabili mwenyekiti wa mtaa ikiwemo kutumia jina lake na kuwatishia watendaji wengine huku akidaiwa kusema yeye ni ‘mungu’ wa Bonyokwa. Baada ya kuwasikiliza wajumbe wa serikali ya mtaa, RC Makonda aliagiza kukamatwa kwa mwenyekiti huyo. Unaweza kuangalia video hii hapa chini

VIDEO; Makonda alivyoamuru Mwenyekiti mwingine akamatwe katikati ya mkutano, Bonyeza play hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement