Biko


Tangaza Hapa Ad

Top Stories

BREAKING: Kauli ya Polisi Kilimanjaro baada ya kupiga mabomu mapokezi ya Lowassa

on

Polisi Mkoani Kilimanjaro leo imekiri kupiga mabomu ya machozi yasiyopungua manne kwenye mapokezi ya Mwanasiasa maarufu Edward Lowassa aliekua anakwenda kwenye kampeni kumnadi Mgombea Udiwani.
Kamanda wa Polisi Kilimanjaro Hamis Isaah amesema wametumia mabomu hayo baada ya wananchi kufurika barabarani >>> “Alikuwa anakuja katika mapokezi yake, wale waliokuwa wamejiandaa kupokea sasa ikawa ni fujo ikawa sio mapokezi, akakosa njia ya kupita na watu walivyokuwa wengi huwezi kuwaamini wote au kujua wengine wana nia gani”
 
“Kwa hiyo kilichofanyika pale palipigwa mabomu watu wakasambaa na akasindikizwa mpaka sehemu ya uwanja wa mkutano” <<<< Msikilize Kamanda wa Polisi akiongea mwenyewe, bonyeza play hapa chini

AUDIO: Balozi wa Tanzania asimulia walivyomsafirisha Dr. Luis Shika kutoka Urusi, bonyeza play hapa chini kumsikiliza mwanzo mwisho

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement