Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Kitu ambacho Fid Q hakukitarajia kutoka kwa Diamond Platnumz

on

Staa wa muziki wa Hip Hop Fareed Kubanda maarufu kama “Fid Q” ambaye amekuwa kwenye game ya Hip Hop kwa kipindi kirefu na kufanya vizuri na ngoma zake huku akiwa ameshirikiana na wasanii tofauti  katika music industry.

Baada ya kufanya collaboration na Diamond Platnumz pamoja na Rayvanny katika wimbo wa Fresh Remix ameonyesha kumkubali Diamond Platnumz kutokana na kurap kwake katika ngoma hiyo kwasababu hakutarajia kitu kama hicho kutoka kwa Diamond Platnumz.

Kupitia Instagram page yake Fid Q ameandika ujumbe huu“kiukweli sikutarajia Diamond Platnmuz kurap lakini baada ya kuchana mistari michache nilifikiria na kugundua kwamba hichi ni kipande kizuri ambacho kitapamba mti wa christmas kilichobaki historia, documentary fupi ya Fresh inakuja”

AUDIO:Je Diamond Platnumz ana mpango wa kuanzisha hili Tanzania?

 

Soma na hizi

Tupia Comments