Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Vodacom watangaza washindi wa kamata mpunga, mwezi huu atapatikana wa mil 100

on

Ikiwa zimebaki siku chache ifanyike droo kubwa ya kumpata mshindi wa kamata mpunga wa milioni 100, wiki hii vodacom imewatangaza washindi wengine wa milioni moja, milioni tano pamoja na mshindi wa milioni 20.

Bado mtu wangu haujachelewa kushiriki promosheni hii ya kamata mpunga na unaweza kuwa ni mmoja wa washindi ambapo unaweza kujishindia mil 100 mwisho wa mwezi huu kwa  kuandika  neno GO kwenda namba 15544 na kujibu maswali rahisi kabisa kutoka vodacom.

Unaweza kuangalia video hii hapa chini

ULIKOSA VIDEO YA UTOAJI WA TUZO ZA LIGI KUU TANZANIA BARA 2015/2016? UNAWEZA KUIANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement