Habari za Mastaa

Case Closed!! Rapper Tekashi 69 afutiwa shtaka

on

Kupitia mtandao wa TMZ umeripoti kuwa Mahakama imemfutia Rapper Tekashi’22 moja kati ya shtaka lilokuwa likimkabili mwaka 2015 ambalo ni kumtumia kingono msichana mwenye umri wa miaka 13.

October 26,2018 Mahakama iliamua kumuadhibu Tekashi 69 kwa kumfunga kifungo cha nje ‘Probation’ kwa miaka 4 na kisha kupewa saa 1,000 ya kujihusisha na kazi za jamii, Taarifa zinaripoti kuwa adhabu pamoja na shtaka zilizokuwa zikimkabili zimefutwa.

Kutokana na kufutiwa adhabu pamoja na shtaka moja Tekashi 69 kwa sasa bado yupo jela mpaka September 4,2019 akisubiri kusomewa shtaka lake la uhalifu wa kutumia silaha pamoja na matumizi ya dawa za kulevya.

RAMMY KAZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI UZINDUZI WA MOVIE YA HUKUMU

Soma na hizi

Tupia Comments