AyoTV

JWTZ imeanza kuwapa mafunzo wanafunzi wa form six waliosoma sayansi

on

Makao makuu ya jeshi la wananchi Tanzania JWTZ kupitia shule ya mafunzo ya awali ya kijeshi RTS Kihangaiko imeanza kutekeleza mpango maalumu wa kuwatambua na kuwapa mafunzo kamili  ya kijeshi vijana wote wanaonekana kufanya vizuri katika mitihani yao ya kidato cha sita mchepuo wa sayansi.
Lengo la mafunzo hayo ili baadae waweze kuandikishwa na kulisaidia jeshi katika utendaji wake hususani katika vitengo nyeti, sehemu ya hitimisho la mafunzo ya porini ya kundi maalumu 02/08 la vijana zaidi ya 400 katika eneo la msata vilima saba mkoani Pwani, wakiwa katika zoezi maliza shambulio la kunuia la mchana.

BREAKING: Polisi DSM yamnasa jamaa anayetapeli watalii

Soma na hizi

Tupia Comments