Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Kauli ya Serikali kuhusu matumizi ya mitandao yanavyoweza kuhatarisha usalama

on

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Dkt. Maria Sasabo amesema  kutokana na kuongezeka kwa matumizi ya mitandao nchini zimetokea changamoto mbalimbali za viashiria vya matishio ya kuhatarisha usalama na  usiri wa taarifa. Dkt Sasabo ameeleza hayo leo July 12, 2019 wakati akifungua mafunzo   ya  usalama  mtandao yaliyoshirikisha taasisi mbalimbali za kiserikali nchini.

‘’Kwa kuwa utandawazi haujali mipaka ya nchi inabidi tuwe makini na tujipange kukabiria na viashiria au matukio hatarishi endapo yatatokea kwa haraka, nimeambiwa kuwa hili ndio lengo kuu la mafunzo ambayo yatatolewa kwa kipindi cha wiki nzima”-Dkt. Sasabo

MTANZANIA ANAEFUGA MENDE “MMOJA NAUZA Tsh.1000, SOKO NI KUBWA MPAKA NAPAGAWA”

Soma na hizi

Tupia Comments