Tangaza Hapa Ad

Videos

VideoMPYA: Dayna Nyange na Billnass wanatualika kutazama ‘Komela’

on

Mtu wangu ipokee video ya Dayna Nyange akiwa kamshirikisha Billnass,singo hii inaitwa Komela ilifanywa na Producer mwenye hits kadhaa Bongo anaitwa Mr T Touch na video yake imefanywa na Director wa Bongo pia anaitwa Ivan, ukishaitazama usisite kuacha comment yako

VIDEO: P Funk aongea baada ya kuona video ya Mapenzi iliyosambaa kwenye mitandao ikisemekana ni mtoto wake, tazama hii video hapa chini

 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement