Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

‘Kuna kikundi kinatumia Telegram kuhamasisha maandamano TZ’- Polisi

on

Leo March 9, 2018 Jeshi la Polisi limetoa onyo kwa kikundi kinachohamasisha maandamano kupitia mtandao wa Telegram na kusema litafanya kila liwezekanalo kisheria kukizuia

Hayo yamesemwa na Mkuu wa Operation na mafunzo, CP Nsato Marijani alipokuwa amekutana na wanahabari kwa maagizo ya IGP Sirro kuwa Jeshi la Polisi linatakiwa kutoa habari ya matukio kwa kila kipindi cha mwezi mmoja

Polisi makao Makuu wamezungumzia matukio ya mauaji ya hivi karibuni

Soma na hizi

Tupia Comments