Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

VIDEO: Kingunge amwambia JPM “CCM ni Chama changu kile”

on

Leo January 6, 2018 President Magufuli amemjulia hali Mzee Kingunge Ngombale Mwiru aliyelazwa katika wodi ya Mwaisela, Hospitali ya Taifa Muhimbili.

Mzee Kingunge anatibiwa majeraha baada ya kushambuliwa na mbwa, akiwa katika kitanda cha hospitali amemwambia President JPM kuwa CCM ni chama chake na amekiunda yeye.

“CCM ni chama changu nimetoka tu, tumeachana lakini nimefanya kazi zote, nimekiunda mimi, hakiwezi kuwa kinyume changu,”– Mzee Kingunge

MUHIMBILI HOSPITALI WAZUNGUMZIA HALI YA MZEE KINGUNGE

 

Soma na hizi

Tupia Comments