Tangaza Hapa Ad

AyoTV

Alicho kiongea KR baada ya picha zake kusambaa kwenye mitandao

on

Najua KR litakuwa sio jina geni kwako mtu wangu na utakuwa umemfahamu toka akiwa kwenye kundi la TMK wanaume family mpaka alipohamia TMK wanaume halisi na siku za hivi karibuni ameingia kwenye headlines baada ya picha zake kusambaa kwenye mitandao ya kijamii akiwa amejilaza barabarani mapozi ambayo yalishtua watu wengi na kuwaachia maswali mengi.

Camera za Ayo TV na Millardayo.com zimeweza kumpata KR na amelezea ilikuwaje akafanya vile.

>>>’Unajua me mwenyewe sikutegemea kama itakuwa vile kwasababu nilikuwa na washkaji nini, kwahiyo naweza kusema niliteleza lakini sio kama watu wanavyofikiria maana…’ – KR

ULIKOSA KUITAZAMA VIDEO YA NYUMBA WALIZOJENGEWA YAMOTO BAND NA MENEJA WAO SAID FELA? UNAWEZA KUITAZAMA VIDEO NIMEKUWEKEA  HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement