Tangaza Hapa Ad

AyoTV

‘Kiongozi wa siasa alishawishi walalamikaji kutotoa ushahidi mahakamani’-RPC Temeke

on

Ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Paul Makonda  imeendelea November 22 2016 katika viwanja ya Zakhem Mbagala Temeke ambapo wananchi walitumia fursa hiyo kutoa kero zao ambazo zilipatiwa majibu hapo hapo.

Moja ya kero iliyotajwa ni kuhusu suala la vijana wanaojiita ‘panya road’ kutishia usalama wa raia’, akijibu kuhusu kero hiyo Kamanda wa polisi mkoa wa kipolisi Temeke, Gilles Muroto alisema ……..

‘Tulikamata watoto karibu 28 bahati mbaya wale waliotendewa hawakufika mahakamani nilifuatilia nikabaini kuna kiongozi wa mmoja  wa siasa aliwashawishi walalamikaji wakashindwa kwenda kutoa ushahidi mahakamani’

Unaweza kuangalia video hii hapa chini

VIDEO: Vituo vya polisi 20 vitakavyojengwa DSM, kimoja kitajengwa hapa

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement