Habari za Mastaa

EXCLUSIVE: Tessy kafunguka Aslay kudaiwa kutokutoa matunzo kwa mtoto wake

on

Mrembo Tessy aliyezaa na staa wa Bongofleva Aslay amefunguka yale madai yaliyowahi kusambaa mtandaoni kuwa Aslay hamuhudumii mtoto wake baada ya wawili hao kutengana, pamoja na hayo pia amezungumzia tuhuma za yeye kuwa kwenye mahusiano na mfanya biashara maarufu hapa bongo.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama VIDEO.

VIDEO: Aliyezaa na Charles Baba kafunguka baada ya kusikia kaoa “Hatoi matunzo kwa mtoto”

EXCLUSIVE: IRENE UWOYA KAFUNGUKA DOGO JANJA KUTOSHIRIKI BIRTHDAY YAKE

STEVE kajibu Dogo Janja kuingia mitini Birthday ya Uwoya “Kuna Mume wa TV na Mume wa live”

Soma na hizi

Tupia Comments