Top Stories

Katumbi atangaza kurejea Congo June

on

Leo March 13, 2018 Kiongozi wa upinzani nchini DRC Congo ambae kwasasa anaishi uhamishoni nchini Afrika Kusini Moise Katumbi Tschapwe, amesema anaompango wa kurejea nchini Congo mwezi June 2018.

 Gavana huyo wa zamani wa jimbo la Katanga, ametangaza pia atawania urais mwezi December.

Akizungumza jijini Johannesburg ambako alikuwa amekutana na wanasiasa wa upinzani, Katumbi amesema watahakikisha wanapigana kuchukua madaraka.

Mwisho mwa wiki iliyopita, mamia ya wanasiasa wa upinzani walitangaza kumuunga mkono Katumbi kuelekea Uchaguzi Mkuu mwaka huu.

BREAKING: Timotheo Wandiba ahukumiwa Miaka 81 jela

 

Soma na hizi

Tupia Comments