Tangaza Hapa Ad

Mix

VIDEO:’Nitatafuta milioni 50, nani mkali kati ya Christian Bella na Banana Zoro’- RC Makonda

on

Baada ya ziara ya Dar Mpya ya Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda kumalizika, RC Makonda alikutana na watendaji wa serikali na wadau mbalimbali ambao walishiriki kwa namna moja au nyingine kufanikisha ziara ile, lengo ikiwa ni kuwashukuru.

Kwenye shughuli hiyo burudani ilitolewa na live band kutoka kwa Christian Bella na Banana Zorro ambapo RC Makonda aliyazungumza haya………

Nataka kufanya mashindano ya Live Band, mshindi ni mmoja, yaani haina mshindi wa kwanza, wa pili na mimi nitatafuta zawadi kwa mshindi wa kwanza, kwa hiyo watapanga wenyewe tarehe’

VIDEO: Utani wa Mussa Hussein, Jose Mara na Geah Habibu mbele ya RC Makonda, Bonyeza play hapa chini kutazama

VIDEO: RC Makonda alivyomaliza mvutano wa uwepo wa mnada soko la Kawe, bonyeza play hapa chini kusikiliza 

Tupia Comments

Advertisement