PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

AyoTV

Dr Tulia alivyozitumia Mil 16 kwa watu wake Mbeya (+Video)

on

Naibu Spika Dr Tulia Ackson akiongozana na mwenyeji wake Mkuu wa mkoa wa Mbeya Amos Makalla alifunga rasmi semina ya mafunzo ya siku sita kwa wajasiriamali ambao ni wateja wa taasisi ya mikopo ya TULIA TRUST waliokuwa wakipewa mafunzo na taasisi hiyo ambapo watunukiwa vyeti na fedha kama motisha.

Kubwa zaidi pia Dr Tulia kupitia taasisi yake hiyohiyo ya TULIA TRUST alitoa zawadi kwa wanafunzi wa darasa la saba Waliofanya vizuri katika Mkoa wa Mbeya kwa ngazi ya Mkoa na ngazi ya Wilaya ya Rungwe na Halmashauri ya Busokelo kwa mwaka 2017 ambapo Jumla ya wanafunzi waliopata zawadi ni 28 na Shule 9. Zawadi zilizotolewa ni takribani milioni sita.

“Hii sehemu inanipa shida sana na sielewi” –Dr Tulia

Soma na hizi

Tupia Comments