Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Waziri Mwijage kuhusu kufungwa kiwanda cha Dangote na ubora wa makaa ya mawe

on

Siku moja baada ya kiwanda cha Dangote kilichopo Mtwara kuripotiwa kwamba kimesitisha uzalishaji, watu mbalimbali wakiwemo wachumi, wanasiasa walitoa maoni tofautiofauti huku maneno mengi yakiendelea kwenye mitandao ya kijamii.

millardayo.com na AyoTV imempata Waziri wa Viwanda, biashara na uwekezaji, Charles Mwijage na ameeleza sababu za kiwanda hicho kufungwa na kuhusu maneno yaliyoenea kuwa wenye viwanda vya saruji wamefunga viwanda kugomea makaa ya mawe ya hapa nchini kwa madai kuwa hayana ubora kama wanayopata nje ya nchi.

>>>’Mkurugenzi mtendaji wa Kiwanda amesema ni tatizo la kiufundi na litarekebishwa katika kipindi kifupi kischozidi wiki mbili’-Waziri Mwijage

VIDEO: Sababu za benki kufilisika wakati huu, bonyeza play hapa chini kutazama 

VIDEO: Msajili wa hazina kaifafanua ‘Fixed Deposite account’ iliyowaondoa vigogo TRA, Bonyeza play hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement