Tangaza Hapa Ad

AyoTV

HEKAHEKA: Mjomba anaishi na mtoto wa dada yake na amezaa nae watoto wawili

on

Leo December 21 2016 kupitia hekaheka ya Leo Tena Clouds FM, Geah Habib ametuletea hii kutokea Madale Dar es salaam, ni kuhusu mjomba anayeishi kinyumba  na mtoto wa dada yake wa tumbo moja tena wameshazaa watoto wawili.

Baada ya kusikia taarifa hizo mama mzazi wa binti kafunga safari kutoka Kigoma hadi Dar es salaam kwa ajili ya kuja kushuhudia na kutaka kumchukua binti yake ili arudi naye kigoma.

Bonyeza play hapa chini kusikiliza full Story

FULL VIDEO: Shilole na mpenzi wake walivyojiachia kwenye Birthday Party, Bonyeza play hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement