Tangaza Hapa Ad

Magazeti

JWTZ wajengewa chuo cha mafunzo ya kivita

on

Kila asubuhi Millard Ayo atazisogeza karibu yako habari zote kubwa kutoka kwenye Magazeti mbalimbali ya Tanzania ambapo huwa naziweka kwenye page ya Twitter ya @millardayo na kwenye Youtube ya millardayo bila kusahau millardayo.com.

Moja ya habari iliyoandikwa kwenye magazeti ya leo ni pamoja na hii ya kwenye gazeti la Majira, yenye kichwa cha habari ‘JWTZ wajengewa chuo cha mafunzo ya kivita Bagamayo’ 

Gazeti hilo limeripoti kuwa waziri wa Ulinzi na jeshi la kujenga Taifa, Dk. Hussein Mwinyi ameweka jiwe la msingi ktk mradi wa chuo cha kisasa cha mafunzo ya jeshi la wanancnhi wa Tanzania ‘JWTZ’ kinachojengwa Mapinga, wilaya ya Bagamaoyo Mkoani Pwani.

Akizungumza katika eneo lamradi Dkt. Mwinyi amesema mradi huo unafadhiliwa na jeshi la mkombozi la watu wa China ambapo chuo hicho kitatoa mafunzo maalumu kwa vikundi mbalimbali vya kijeshi ili kukabiliana na ufgaidi nchini.

Unaweza kuzipita habari nyingine kubwa zilizoandikwa kwenye magazeti ya leo

AyoTVMAGAZETI: Kilichojificha migogoro ya vyama vya upinzani, Serikali sasa yaanza kusambaza chakula, Bonyeza play hapa chini 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement