Tangaza Hapa Ad

AyoTV

PART 2: Jamaa anaishi na mtoto wa dada yake na wamezaa

on

Leo December 22 2016 kupitia hekaheka ya Leo Tena Clouds FM, Geah Habib ametuletea muendelezo wa hekaheka ya jana ambayo imetokea Madale Dar es salaam kuhusu mjomba anayeishi kinyumba  na mtoto wa dada yake wa tumbo moja tena wameshazaa watoto wawili.

Baada ya kusikia taarifa hizo mama mzazi wa binti kafunga safari kutoka Kigoma hadi Dar es salaam kwa ajili ya kuja kushuhudia na kutaka kumchukua binti yake ili arudi naye kigoma.

Bonyeza play hapa chini kusikiliza full stori

VIDEO: Vitu unatakiwa kufahamu kuhusu kuegesha vyombo vya moto DSM, Bonyeza play hapa chini

 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement