Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: “Tujiulize kwa nini tumefika hapa” – Biteko

on

Mbunge wa Bukombe Dotto Biteko ni mmoja kati ya Wabunge waliopata nafasi ya kuwasilisha mapendekezo yake katika Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi katika Bunge la Bajeti linaloendelea Dodoma ambapo alilieleza Bunge kuwa Tanzania imeshuka kwa kasi katika uzalishaji wa zao la Pamba kutokana na changamoto mbalimbali zinazotakiwa kutatuliwa na Serikali.

MAGAZETI: Polisi yataja mtandao wa Ujambazi Kibiti, Bajeti ya kilimo pasua kichwa 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement