Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Mpango wa RC Makonda baada ya kutembelea uwanja wa fisi Tandale DSM

on

Leo November 27 2016 ikiwa siku ya tisa ya ziara ya mkuu wa  mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda  amepita uwanja wa fisi kata ya Tandale eneo ambalo ni maarufu kwa biashara ya ngono na pombe za kienyeji.

Baada ya kutembelea maeneo hayo RC Makonda amesema watabomoa nyumba zote uwanja wa fisi ili kujenga viwanda vidogovidogo kwa kuwa wamebaini kuna changamoto nyingi sana.

Ulikosa hii ya wakazi wa Mloganzila walivyosimama barabarani kuzuia msafara wa RC Makonda, unaweza kuangalia video hii hapa chini 

Ulikosa alichokiongea RC Makonda baada ya kutembelea MUHAS Kampasi ya Mloganzila? Unaweza kuangalia video hii hapa chini 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement