Top Stories

‘Hakuna kada wa CCM anayemuingia Lowassa’ Said Kubenea (+video)

on

Leo June 14,2018 tunayo story kutokea kwa Mbunge wa Ubungo Saed Kubenea ambapo amesema vyama vya siasa ni daraja tu, hivyo watu waache siasa na wafanye kazi za watu.

Kubenea ameyasema hayo akiwa shule ya Msingi Mabibo na Makuburi wakati akikagua miradi mbalimbali ya maendeleo katika shule hizo.

“Sisi tumekuja kuwahudumia wananchi vyama ni daraja tu la kupita na vyama watu wanabadirisha, Lowassa alikuwa kada wa kutupwa CCM lakini ameahama,” amesema Kubenea

Pia amesema watu waache mambo ya siasa na wafanye kazi za watu kwanza, fedha nyingi za serikali zinatoka lakini zinaliwa.

“Leo kuna watoto 835 wanasoma katika mazingira mazuri na walimu wanafurahi kufundisha sehemu nzuri kwa sababu majengo yameboreshwa,” Kubenea

BREAKING: Ajali ilivyoua Askari 10 wa JKT, 25 wamejeruhiwa muda huu Mbeya

JPM ‘Nimeumizwa sana, Vifo 13, poleni Mkuu wa JWTZ na wa JKT’

Soma na hizi

Tupia Comments