Tangaza Hapa Ad

VIDEO: Jamaa aliyesimama kutoa kero ziara ya Dar Mpya alivyoishia kuchukuliwa na polisi


Mkutano wa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda uliendelea November 25 2016 Ubungo, jamaa alisimama kutoa kero wakati anajieleza akasema yeye ni mjumbe wa serikali ya mtaa, kajieleza kuwa alikuwa akichangisha fedha ambapo kinyume cha utaratibu kwa agizo la mwenyekiti kwa ajili ya kutengeneza barabara ambapo RC Makonda akatoa agizo achukuliwe na polisi kwa ajili ya kutoa maelezo. Unaweza kuangalia video hii hapa chini

VIDEO: Majukumu aliyoyatoa RC Makonda kwa Diwani Boniphace Jacob 

VIDEO: Rais Magufuli alivyompigia simu Makonda katikati ya mkutano 

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement