Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: RC Makonda alivyoitatua kero ya maji Pugu DSM

on

Ni kwenye mkutano wa hadhara Pugu Dar es salaam ikiwaa ni muendelezo wa ziara ya  Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda kusikiliza kero mbalimbali za wananchi amekutana na kero ya maji Pugu. Baada ya meneja wa mradi huo kueleza changamoto wanazozipata kwenye mradi huo na kusababisha maji kutotosheleza RC Makonda aliahidi kutoa milioni 13  ili kuhaikikisha wananchi wanapata maji, Unaweza kuangalia kwenye video hii hapa chini.

Ulikosa RC Makonda alipofika kwenye soko la samaki feri na kuzungumza na wafanyabiashara wa wa Feri. Bonyeza play hapa chini

VIDEO: Mwenyekiti alivyochukuliwa na polisi mbele ya wananchi kwa amri ya RC Makonda. Unaweza kuangalia video hii hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement