Tangaza Hapa Ad

Mix

VideoFUPI: Watuhumiwa wa dawa za kulevya walivyofikishwa Mahakamani

on

Baada ya jana Kamishna wa Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam, Simon Sirro  kutoa taarifa iliyodai kuwa mpaka sasa wamewakamata Watuhumiwa 112 kwa tuhuma za dawa za kulevya, leo February 7 2017 baadhi ya watuhumiwa wamefikishwa Mahakama ya mkazi kisutu.

FULL VIDEO: MAAGIZO MATATU YA PAUL MAKONDA LEO FEB 6 2017

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement