Magazeti

Dakika 15 za kusikiliza uchambuzi wa Magazeti leo Sept 05.

on

1011111950-755164Hii ni time nyingine ya kusikiliza kwa upana kile ambacho kimeandikwa kwenye kurasa mbalimbali za magazeti leo September 05,miongoni mwa vitu vilivyochambuliwa ni pamoja na hali ya chakula kwa sasa ambapo serikali imeruhusu vyakula kuuzwa nje ya Tanzania.

Uchambuzi huu wa magazeti unafanywa na PJ kutoka Power Breakfast ya Clouds Fm.

98.6 Clouds Fm inasikika ukiwa Musoma.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments