Tangaza Hapa Ad

Mix

MSIBA: Mpigapicha maarufu Mpoki Bukuku afariki dunia

on

Mpiga picha maarufu Mpoki Bukuku amefariki dunia leo katika Taasisi ya Mifupa (MOI), alikokuwa amelazwa akipatiwa matibabu.

Taarifa zinasema Mpoki amefariki dunia mchana huu na alipokelewa taasisi ya MOI jana usiku baada ya kupata ajali ya gari maeneo ya Mwenge ITV.

Mpoki Bukuku amewahi kufanya kazi kama Mpiga Picha Mkuu katika gazeti la Mwananchi pia amewahi kufanya kazi magazeti kadhaa likiwemo Majira na Nipashe.

43dd703f-c6de-4e3e-ad03-0ef2f9745665

ULIKOSA HII YA RAIS MAGUFULI KUHUSU KUMTEUA MRITHI WA JAJI LUBUVA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement