Tangaza Hapa Ad

AyoTV

AUDIO: ‘Hatujaridhika na maamuzi ya mahakama’-Wakili wa Mbunge wa Kilombero

on

January 11 2017 mbunge wa Kilombero Peter Lijualikani alihukumiwa kwenda jela miezi sita kwa kukutwa na hatia ya kufanya fujo wakati wa uchaguzi wa kumpata Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya kilombero mwaka 2015.

millardayo.com na AyoTV imempata wakili wake Tadey Lister ambaye amesema….. >>>‘Hatujaridhika na maamuzi ya mahakama, taratibu zingine zinafuata kwa mujibu wa sheria ikiwemo kutoa taarifa ya siku 10 ya kukata rufaa mahakama kuu na kupeleka rufaa mahakama kuu na tumeshapeleka notice’

Baada ya Mbunge wa Kilombero kuhukumiwa miezi 6 jela, Sheria inasemaje kuhusu Ubunge wake? Bonyeza play hapa chini

Unazitaka Breaking NEWS na Stori zote? ungana na Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FB Twitter Instagram YouTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement