Tangaza Hapa Ad

BREAKING: Mbunge Hafidh Ali Tahir amefariki Dunia akiwa Dodoma


Ni habari zinazotoka Dodoma asubuhi hii ya November 11 2016 zikihusu kifo cha Mbunge Hafidh Ali Tahir wa Jimbo la Dimani ‘CCM’ Zanzibar, ni kifo kilichotokea alfajiri ya leo katika Hospitali ya mkoa wa Dodoma.

screen-shot-2016-11-11-at-8-08-27-am

millardayo.com & Ayo TV zinaendelea kufatilia taarifa zaidi kuhusu msiba huo. R.I.P Hafidh Ali Tahir

VIDEO: Mwili wa Samuel Sitta ulivyowasili DSM

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement