Tangaza Hapa Ad

Duniani

PICHA 10: Ndege kubwa zaidi duniani zilizotajwa kwenye hii Top 10

on

Kampuni ya Boeing inajulikana kama mtengenezaji mkubwa namba moja wa ndege duniani kwa miaka mitatu mfululizo kuanzia mwaka 2011. Kampuni za Boeing na Airbus ndio washindani wakubwa zaidi duniani kwa kutengeneza ndege kubwa ambazo ni za gharama na  ambazo husafiri umbali mrefu kwa kasi zaidi.

Imeelezwa kuwa mashirika matatu ya kimataifa ya ndege ambayo ni Emirates, Qatar na Etihad yametajwa kuwa wanunuzi wakubwa wa ndege hizo, aidha Shirika la ndege la Singapore na Lufthansa yametajwa pia kutumia ndege hizo kubwa.

Leo January 14 2017 nimekutana na hii Top 10 ya ndege ambazo ni kubwa zaidi duniani, unaweza kuitazama hapa chini.

 

 

 

10. Airbus A340-500

airbus-a340-500-1

9. Qatar Airways Airbus A350-900

21543823044_939d704503_b

8. Boeing 777-300

cf51a2274d0a5d6e4208d05ba93df0ca

7. Antonov An-124

polet_airlines_an-124_ra-82075_in_flight_28-jul-2011

6. Airbus A340-600

img_0

5. Qantas Air, Boeing 747-400

5

4. Boeing 747-8i

4

3. Airbus A380-800 (Emirates Superjumbo Jet)

3

2. Antonov An-225 Mriya

2-antonov-an-225-mriya

1. Airlander 10

1

VIDEO: Askari Magereza walivyoonyesha uwezo wao mbele ya Waziri Nchemba, Bonyeza play hapa chini 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement