Tangaza Hapa Ad

Mix

VideoFUPI: ‘Sheria ya kudhibiti madalali inakuja’-Waziri Lukuvi

on

Shughuli za udalali wa nyumba, mashamba na maeneo kwenye miji mbalimbali imezidi kukithiri ambapo idadi ya madalali inazidi kuongezeka kila siku na shughuli hiyo kwa baadhi imekuwa ikifanywa kiholela bila kuwa na  sifa stahiki za mtu ambaye anatakiwa kujishughulisha na shughuli hizo.

Leo December 29 2016 Waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi, William Lukuvi wakati akifungua semina juu ya jukumu la vyombo vya habari katika kutoa elimu ya sheria, kanuni na taratibu katika utawala wa ardhi amezungumzia mpango wa kuanzisha sheria itakayodhibiti madalali, Waziri Lukuvi amesema….

‘Tunafikiri lazima tuwe na sheria zitakazodhibiti madalali na brokers ili kila mtanzania atakayetaka kufanya kazi hii ajue sifa na miiko yake’

VIDEO; Mpaka 2015 kulikua na Watu Milioni moja laki 4 wanaoishi na VVU Tanzania, Bonyeza play hapa chini 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement