Tangaza Hapa Ad

Mix

DAWA ZA KULEVYA: Polisi Arusha imewakamata 80

on

Ishu ya dawa za kulevya imezidi kuchukua headlines kwenye mikoa mbalimbali ambapo leo kutokea Arusha Jeshi la polisi limefanya msako wa dawa za kulevya ambapo leo February 14 2017 limetoa taarifa za matokeo yake.

Kamanda wa polisi Arusha Charles Mkumbo amesema katika msako huo wamekamata mirungi kilo 33, kete 167 za dawa za kulevya aina ya Heroin.

Aidha ameeleza kuwa Jeshi hilo linawashikilia watu 80 akiwemo Askari mwenye namba F. 6978 D/CPL Zakayo ambaye anadaiwa kuchukua dawa za kulevya na kuwabambikiza watu ili aweze kujipatia rushwa.

FULL VIDEO: Awamu ya 3 ya Paul Makonda sakata la dawa za kulevya, Bonyeza play hapa chini kutazama

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako Millard Ayo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement