Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

ALIYEMCHORA DOGO JANJA TATTOO KAZUNGUMZIA GHARAMA YAKE

on

Msanii wa Bongofleva Dogo Janja aliamua kuonesha kuwa ana upendo wa dhati kwa mkewe Irene Uwoya baada ya kuamua kuchora tattoo yenye jina la Irene Uwoya katika mwili wake na kuamua kupost katika instagram account yake.

Sasa millardayo.com imempata mchoraji wa Tattoo hiyo ambaye anafahmika kwa jina la Testa Tattoo ambaye amehusika kwenye uchoraji wa Tatto za mastaa kama Wema Sepetu, Irene Uwoya na Wengine amezungumza gharama na jinsi alivyomshawishi Dogo Janja kubadili sehemu ya kuchorea Tattoo yake na kumshauri achore kwapani.

PLAY hapa chini kuitazama video

Rosa Ree ametuletea Min Super Market aliyowekeza zaidi ya Millioni 30

Soma na hizi

Tupia Comments