Habari za Mastaa

Dogo Janja aiponda style mpya ya nywele ya Billnass, aliyempost ndiye mpenzi mpya?

on

Baada ya mkali Billnass kutuonesha style mpya ya nywele ya kusuka rasta style ya Dreads, Dogo Janja ameiponda style hiyo na kudai haijampendeza hata kidogo na istoshe alikutana naye kwenye After School Bash lakini hakumgundua haraka kutokana na muonekano wake.

Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama Dogo Janja akizungumza.

EXCLUSIVE: MUNA KAWAJIBU WALIODAI KAMTELEKEZA MTOTO WAKE MWINGINE

VIDEO: HATIMAYE MUNA LOVE KAZINDUA THE PATRICK FOUNDATION

Soma na hizi

Tupia Comments