Habari za Mastaa

VIDEO: Sauti Sol wametua Bongo, wamedai wamekuja kutafuta ‘Kiki moto’

on

Kundi la music kutokea Kenya Souti Sol wametua Bongo baada ya miaka mitatu kupita pasipo kuja, ishu kubwa iliyowaleta Sout Sol ni show watakayo ifanya siku ya jumamosi ya December 15 maeneo ya Backets Masaki na baada ya kutua Bongo walipata time ya kuzungumza na waandishi wa habari.

Sauti Sol wakati wakiongea na waandishi wa habari moja ya jambo waliloulizwa ni kuhusu ‘kiki’ ambapo wamedai ni kweli hata wao wanatafuta ‘Kiki’ kwani wamekuwa wakiona baadhi ya wasanii wakiitumia hiyo kwenye biashara na ikawasaidia.

Bonyeza PLAY hapa chini kuwatazama Souti Sol wakizungumza.

VIDEO: “Sijaiga, mimi ndiyo nilianza, wanaofanya Comedy wameniangalia, mimi ni mfano”

Soma na hizi

Tupia Comments