Video Mpya

VideoMPYA: Rostam mpaka Kenya kwenye mdundo mmoja na Khaligraph

on

Wakali wa Michano kutokea +255 Tanzania Rostam yani Roma na Stamina wamesikika tena kwenye mdundo wa Pamoja na mkali wa michano kutokea +254 Kenya Khaligraph ambaye ndiye mwenye wimbo unaoitwa ‘Now You Know’ na video ya wimbo huo umetayarishwa na Enos Olik.

Mchora Tattoo kafunguka alizomchora Wema kifuani na Uwoya

Rosa Ree ametuletea Min Super Market aliyowekeza zaidi ya Milioni 30

Soma na hizi

Tupia Comments