Habari za Mastaa

Mastaa wazungumzia clip ya Polisi ya kukamata wanaojikoolesha (shambulio la aibu)

on

Baada ya kusambaa kwa clip ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Hassan Nassir akiwa anazungumzia suala la kuwa kamata na kuwafikisha mahakamani wanaume wanao jikoolesha au hata kuwasumbua wanawake wenye maumbile makubwa haswa sehemu za nyuma, Baadhi ya mastaa wamelizungumzia hilo.

Mastaa hao ni pamoja na Muimbaji/Muigizaji Snura Mushi pamoja na Shamsa ambao walitoa maoni yao kuhusu hilo. PLAY hapa chini kuwatazama wakielezea.

VIDEO: Johari Kafungunga mpenzi wake mpya ni mzungu..?

WALICHOZUNGUMZA MASTAA BAADA YA KUIONA TRAILER YA MOVIE YA SEMA

Soma na hizi

Tupia Comments