PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Habari za Mastaa

VideoMPYA: Ben Pol katuletea hii mpya ya kuitazama yupo na msanii wake mpya

on

Video iliyonifikia leo January 2, 2017 ni hii ya mkali wa R&B kutokea Dodoma Ben Pol ambaye ametusogezea video hii mpya aliyomshirikisha msanii wake mpya anayemsimamia yeye mwenyewe anaitwa Wyse na wimbo unaitwa Bado Kidogo na unadakika 4:15.

Bonyeza Play hapa chini kuitzama..

BEN POL NA ROMA LIVE: waimba na bendi ya Compozers Usiku wa Mwaka Mpya

Soma na hizi

Tupia Comments