Swahili Fashion Week
Tangaza Hapa Ad

FULLVIDEO: Rais Magufuli alivyompigia simu Makonda katikati ya mkutano


Rais Magufuli amempigia simu mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda ambaye yuko kwenye ziara ya DAR MPYA, kutembelea maeneo mbalimbali ya Dar es salaam na kusikiliza kero za Wananchi.

Miongoni mwa vitu alivyovizungumzia Rais Magufuli ni pamoja na bomoabomoa kwenye hifadhi ya barabara, kuipongeza Clouds kwa kurusha live DAR MPYA pamoja na kumpongeza Paul Makonda kwa kumuhakikishia anamuunga mkono kwa 100%, bonyeza play hapa chini kumsikiliza Rais Magufuli mwenyewe.

VIDEO: RC Makonda alivyotembelea kiwanda pekee cha Tambi A. Mashariki na katiĀ 

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement