Tangaza Hapa Ad

Videos

VideoMPYA: Mabibi na mabwana Linah ametuletea video mpya inaitwa ‘Kosa Sina’

on

Ni mwimbaji wa bongofleva Linah Sanga tena kwenye TV zetu, ametusogezea burudani mpya kupitia wimbo wake wa ‘Kosa Sina‘ imefanywa na director mtanzania Khalfani Khalmandro , ukimaliza kuitazama naomba uache na comment yako ili Linah akipita ajue watu wake wamempokeaje

VIDEOP Funk aongea baada ya kuiona video iliyosambaa kwenye mitandao ikidaiwa ni mtoto wake Paula, tazama alichoongea kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement