Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

U HEARD: Alichokisema Linah kuhusu mpenzi wake mpya kumvisha pete mwanamke mwingine

on

October 19, 2016 Soudy Brown mtangazaji wa U Heard ya Clouds FM amepiga story na msanii Linah ambaye inadaiwa anatoka kimapenzi na jamaa mmoja anaitwa Shebby. Soudy ametaka kujua kuhusu picha zilizoanza kuzagaa zikimuonesha Shebby akiwa anamvisha pete ya uchumba mwanamke mwingine.

Linah amesema anajua kwamba Shebby aliwahi kuwa na mahusiano na mwanamke huyo na alizaa naye ingawa kwasasa wameachana hivyo haoni tatizo yeye kuwa na Shebby.

Sikia nikwambie Soudy, hata kama watu waliona hizo picha wanajua ilikua ni lini? na kama amemchumbia kwanini mpaka sasahivi hawako wote, inamana kuna tatizo. Mimi ni kioo cha jmamii siwezi kua na mahusiano na mtu bila kujua background yake ikoje. Ndiomana nilivyoona hivyo vitu nikachukulia kawaida sababu najua kila kitu kinachoendelea:- Linah

ULIMISS KUWAONA SAUT SOL WAKIZUNGUMZIA VIDEO ILIYOWAPA CHANGAMOTO WAKATI WA KUSHOOT? WATAZAME HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement