Tangaza Hapa Ad

Michezo

Kitu ambacho Lionel Messi anatamani kuona kikitokea siku moja

on

Moja kati ya vitu vinavyoingia kwenye headlines kuhusiana na mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina anayeichezea FC Barcelona Lionel Messi ni wengi kutaka kujua kama atastafia Nou Camp au ipo siku atahama kama mpinzani wake Cristiano Ronaldo.

Messi ambaye alijiunga FC Barcelona akiwa na umri wa miaka 13 akitokea klabu yake ya utoto ya Newell ya kwao Argentina na kupata mafanikio ndani ya FC Barcelona ikiwemo kushinda Ballob d’Or mara 5 anatamani kurudi kuichezea siku moja.

304BA95100000578-0-image-a-131_1453209992601


“Ningependa kurudi kuichezea Newell siku moja ni kitu ambacho nilikuwa nakitazamia lakini ilikuwa ndoto yangu pia, lakini maisha yangu yalianza kubadilika na kwenda sehemu nyingine sema sijutii

GOAL AND HIGHLIGHTS: YANGA VS TP MAZEMBE JUNE 28 2016, FULL TIME 0-1

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement