Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Baada ya Prof. Lipumba kuvuliwa uanachama, CUF wamemtaja wa sasa

on

September 15 2016 Chama cha wananchi CUF  kimekutana na waandishi wa habari Dodoma na kumtaka msajili wa vyama vya siasa nchini asitumike kukiyumbisha chama hicho kwa madai baadhi ya vyama vinatumia ofisi yakekuwavua uanachama ikiwa ni pamoja na madai ya aliyekuwa mwenyekiti wao Profesa Ibrahim Lipumba kutaka kutaka kurudi katiaka nafasi hiyo.

Mwenyekiti  wa CUF bungeni Riziki Mngwali amesema…’Baraza kuu CUF liliwavua uanachama wanachama kadhaa akiwemo Prof Lipumba na kuwaandikia barua, tunaunga mkono hatua hiyo ya kinidhamu 

Lakini pia tuna taarifa za Prof Lipumba kupeleka malalamiko yake kwa msajili wa vyama vya siasa akijitangaza kuwa yeye ni M/kiti halali wa CUF‘ –Riziki Mngwali

Ifahamike kuwa sisi CUF hatumtambui Prof Lipumba kuwa mwenyekiti wetu na kwasasa chama kinaongozwa na chama taifa chini ya Julius Mtatiro‘ –Riziki Mngwali

ULIMIS KAULI YA SERIKALI KUHUSU WAHUSIKA WA MAUAJI YA WAKULIMA NA WAFUGAJI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement