Tangaza Hapa Ad

Mix

VIDEO: Majibu ya CUF kuhusu kukaa meza moja na Prof. Lipumba

on

Ni September 17, 2016 Chama cha wananchi CUF kinaingia kwenye headlines tena baada ya kukutana na waandishi wa habari na kuzungumzia msimamo wao juu ya mgogoro uliopo kati ya chama hicho na aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho Profesa Ibrahim Haruna Lipumba.

Leo September 17 2016 mwenyekiti wa kamati ya uongozi wa chama hicho, amejibu swali la waandishi wa habari kama Chama cha CUF kitakuwa tayari kukaa meza moja na Prof.Lipumba, Mtatiro ameyajibu haya……

>Ingekua Prof. Lipumba alifukuzwa katika Chama, au ameachishwa kwa nguvu halafu kundi linamuunga mkono, Chama kinasema tumemfukuza na kundi linasema linamuunga mkono hapo mngesema tukae tuzungumze na Prof Lipumba, hatuna cha kuzungumza na Prof. Lipumba kwasababu alijuzulu mwenyewe:- Julius Mtatiro

ULIKOSA WALICHOZUNGUMZA CUF BAADA YA MKURUGENZI WA FEDHA KUNUSURIKA KUTEKWA? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement